Saturday 28 September 2019

JINI MAHABA NI NINI?

Jini mahaba ni jini {pepo,shetani} yeyote alie muingia mwanaadamu kwa lengo la kufanya nae uchafu wa zinaa.

VIPI ANAWEZA KUMUINGIA MTU?

 Jini mahaba huwaingia watu kwa sababu nyingi miongoni mwazo ni

kulala bila ya nguo au nguo nyepesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za joto

2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi}

3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama wakiwa uchi

4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya majibila ya dua {hii hupelekea kuingiwa hasa na majini aina ya ghawwaas]

5.kutupiwa na wachawi{mchawi huweza kumuita shetani kichawi na akafanya nae makubaliano na kufunga mkataba kisha akatumwa shetani akuingie }

6. kuingia chooni bila dua {vyooni kuna majini aina na khubuth na khabaaith hivyo anaeingia bila ya dua anaweza kukumbwa na majini hawa na watu wengi wanaoanguka chooni huwa ni kwa kuangushwa na aina hii ya majini}

DALILI ZAKE

majini mahaba huwa na dalili nyingi na hutofautiana kutegemeana na aina ya jini alie kuingia

1. ndoto za kufanya jimai mara kwa mara hasa na mtu unae muheshimu km kaka dada mama baba nk {si kila ndoto ya kufanya mapenzi ni dalili ya jini wakati mwingine ndoto ya kuota unafanya jimai hadi kufikia mshindo hutafsiriwa kama kupata wepesi na mafanikio katika mambo ya muotaji

2. kuharibika ujauzito bila sababu za kidaktari

3. kuchukia tendo la ndoa kuoa au kuolewa na hata kumchukia mwenza wako akiwa karibu nawe na hujihisi kumpenda sana akiwa mbali

4.ndoto za kuota unazaa kunyonyesha au kulea mtoto

5. mwanamama kuvurugikiwa siku za hedhi

6.maumivu makali chini ya kitovu wakati wa tendo la ndoa au hedhi[hili husababishwa pia na vitu mbali mbali km mgoro na baadhi ya bakteria wanao shambulia viungo vya uzazi

7. kutosikia hamu ya tendo la ndoa bila sababu za kidaktari

8. ujauzito kutoweka baadhi ya nyakati na mjamzito kuhisi km hana kabisa ujauzito

9. kupenda sana maasi na kuchukia dhikri na ibada

10. mipango kuharibika bila sababu za msingi

11. kutokuwa na nguvu za kijinsia bila sababu za kidaktari

12. kujihisi umeonewa hadi unafikia kulia bila sababu

13. moyo kwenda mbio bila sababu za kidaktari

14. kifua kuwa kizito km umebeba mzigo au kichwa

15.kuota ndoto za kweli wakati sio mchamungu

16.ndoto za kukimbizwa na wanyama wakali km simba nyoka chui nk

17.kupiga kelele bila sababu na unashindwa kujizuia

hizi ni baadhi tu ya dalili zipo nyingi sana

MADHARA YAKE

jini huyu anapomuingia mwanadamu huweza kumpatia madhara yafuatayo

1.kuchukia kuoa au kuolewa

2.kuchukia watu wa jinsia tofauti

3. kutopata mtoto

4. kuvurugikiwa mambo yake bila sababu za msingi

5. gundu [an kis]

6.kuchukiwa bila sababu n.k

TIBA YAKE

Chukua dawa zifuatazo

1. manemane mruturutu kiberiti upele na karafuu maiti changanya ujazo sawa atumie kujifukiza asubuhi na jioni

2. chukua mafuta ya mkunazi zaituni habatisaudaa, ndimu na kitunguu swaumu ujazo sawa ila zaituni yatakiwa kuwa marambili ya ujazo wa mafuta mengine weka miski ya unga kijiko kimoja cha chakula tumia kujipaka asubuhi na muda wa kulala kwa muda wa wiki tatu mfululizo

Kwa ushauri na dawa za magonjwa mbalimbali wasiliana nami Maalim Mambikhi bingwa Wa tiba asili

+255 745 59 50 89

Tuesday 3 September 2019

POWERFUL OIL(Mafuta ya Maajabu)

1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
Wasiliana na Maalim Dr Mambikhi Kwa simu no +255 745 59 50 89