Thursday 16 January 2020

KUSAFISHA NYOTA, MVUTO WA BISHARA KWA KUTUMIA MUOSHA FEDHA



FAHAMU KUHUSU MMEA WA MUOSHA FEDHA

Muosha fedha unaingia kwenye orodha ya mimea saba ambayo inafanya kazi kubwa katika hitaji binaadam. Mti huu huweza kungarisha nyota, kuvuta watu biashara pamoja na mambo mengine.

Miongoni mwa miti saba ambayo inafanana kikazi na muosha fedha ni pamoja na mwita, mfunguo, muharaka miti mitatu naihifadh.

Miti Hii km utaiweka pamoja inaweza kukupa matokeo haraka kwwnye kazi iliyokusudiwa.

Kwa matumizi kwa ajili ya biashara

Tafuta muosha fedha Chumvi ya mawe Pilipili nyekundu unga Mwita

Changanya pamoja choma eneo lako la biashara kwa manuiz asubuhi kabla ya kufungua kwa muda wa ck tatu

Kwa kujifungua na nuksi au mikosi

mambo hayaendi Sawa unalopanga haliwi

Tafuta Kindu 7 Muosha fedha Nazi ya mdondo. Yai la kuku wa kienyeji. majani ya mbaazi unga Mwembe jini

Chukua kindu saba usiku wakati unataka kulala kisha uzifunge fundo moja moja kisha unasema mimi nimefungwa kilakitu na alienifunga simjui sasa namimi nimejiongezea kifungo nafunga njia zangu pia nafunga ufalme wangu na nafunga nyota zangu hadi siku zitakapo fungua hizi kamba. Kisha unaziweka mchagoni unalala na ikifika asubuhi unazitia ndani ya maji kwenyendoo ya kuogea weka na nlvyovtaja hapo juu.

Oga hivyo vyote vikiwa ndani ya hiyo ndoo ya maji kisha unaanza kufungua kindu kwa kusema,

"alie nifunga alijua kamaliza sasa kuanzia sasa najifungua" Ukimaliza kuzifungua uzichome moto halafu nazi na yai ni vya kuvuja kwa manuizi, Unasema wewe yai umefungwa na sijui kama unamtoto wa kike au wa kiume namimi sijui alie nifunga kama ni wa kike au ni wa kiume nitakavyo kufungua wewe yai namimi nifunguke haraka sana, unalivunja. Kisha unakamata nazi unasema wewe nazi hufunga na kufungua namimi najifungua kuanzia sasahivi nafungua nyotayangu, nafungua ufalme wangu, nafungua, nafungua bahati zangu kwa uwezo wa muumba mbingu na ardhi.

Ukimaliza kuvunja zoa katupe jalalan

Kwa ajili ya bahati au mvuto wa mtu
Tafuta muosha fedha unga
Unga wa Misk
Mafuta ya Misk
Mafuta ya alizet

Changanya pamoja Paka na kuchoma kwa manuizi ndani ya ck 7 biidhini llah mambo yako yatafunguka 
Kazi zote muelekee mungu kwanza

Kwa tatizo lolote

+255 745 59 50 89

Whatsapp/Calls