Wednesday, 22 August 2018

NUKSI NI NINI


#-NUKSI-Ni neno la kiarabu ambalo lina maana ya machafuko ,maangamiko,maharibiko. Ambalo kwa kiswahili tuna liita neno hili ni mkosi ambayo ndio maana halisi na sambamba ya msamiati huo.

#NUKSI- ni hali inayo mkumba mtu na kumfanya kuwa na dhiki na ugumu katika kuyaendeka mambo yake na kupata kile anacho kihitaji kwa nafasi yake.

#Tunapo zungu mzia nuksi tuna zungumzia ujumla wa muambatano na visababisha vya ukwamaji wa mambo kwa watu mbali mbali.


#Nuksi kwa ujumla wake zimegawanyika katika aina nyingi ambazo kila moja na sababu zake ambazo hupelekea mtu kuingia katika matatizo kwa uzito wa nuksi yake.
    
   VISABABISHI VYA NUKSI/MKOSI.

A)-#Kukumbwa na kafara za watu manjiani.

B)-#Nuksi ya kuambukizwa na mke/mume.

C)-#Nuksi ya kuletwa na majini.


D)-#Nuksi ya masononeko ya wazazi.

E)-#Nuksi ya kufungwa na asili ya ukoo wa mtu.

F)-#Nuksi ya laana za wazazi/kiapo.

G)-#Nuksi ya kufanyiwa uchawi.

Vyote hivi ni baadhi ya miongoni mwa vitu ambavyo huweza kusabaisha nuksi/mkosi kwa binaadamu.

#Watu wengi wamekuwa wakisumbuka na Mikosi/nuksi pasi na kujua pia ni Nuksi gani inayo wasumbua.

Hapa leo tunazunhumzia aina  moja ya nuksi/mkosi.

1-#Nuksi ya kuikumba -hii ni nuksi ambayo mtu anaikumba yaani hakukusudiwa kufanyiwa kitu kibaya na wachawi wala adui wake.

Hii hutokea pale mtu anapo pita sehemu ambayo kuna watu walifanya kafara ya kutoa nuksi ama kujifungua kutokana na matatizo aliyo nayo.

Endapo mtu atakatiza katika eneo hilo akiwa ni wa mwanzo ni tangu kafara hiyo kufanyika basi mtu huyo ana weza kuipata niksi hiyo.

Nuksi hiyo ambayo huanza kujitokeza matokeza kwake kuanzia siku moja kwa ukamilifu wake ama siku ya nane yake tangu kumkumba nuksi hiyo.

#Mtu huyo anaweza pia kuanza na kupata homa kama kafara hiyo ilikuwa kubwa na hato pata homa endapo kafara hiyo haiku chinjiwa mnyama wala hakikuchomwa kitu miongoni mwaka vitu vya kafara hiyo.

DALILI ZA MTU MWENYE NUKSI/MKOSI.

1-#kuchukiwa kwa sababu za kawaida zisizo na maana.

2-#kukwama mambo yote ghafla.

3-#kushindwa kujisaidia mwenyewe.

4-#kujihisi una mapungufu wewe Mwenyewe na kujiona kama una kasoro.

5-#kuachwa na mpenzi ghafla.

6-#kusimamishwa kazi pasi na sababu ilio nyooka.

7-#kufa kwa mawasiliano na watu wako wa karibu.

8-#watu kuku sahau kwenye mahala pa kufanya kipato.

9-#kukosa msaada kwa mwenye uwezo wa kukusaidia.

Kwa Tiba na ushauri
+255 745 59 50 89
Website : sales@drmambikhi.com
E mail: mambikhitibaasilia@gmail.com

Monday, 20 August 2018

DAWA YA KUSAFISHA NYOTA YAKO NA MVUTO

 

Dawa ya kusafisha

Habari za leo

Chukua mjafari wa unga

Hina ya unga

Magadi ya kupikia mlenda

Machicha ya Nazi yasiyokamuliwa(kuna Nazi kisha changanya na Dawa hizo)

Kisha kamulia ndimu mpaka uone Dawa yako imekuwa uji uji au unaweza usitumie ndimu chukua marashi rose korogea mpaka uone Dawa imekuwa ujiuji

Dawa hii inatumika usku tu

Chukua kitambaa cheupe

Kitandike chini ilihali upo uchi

Chukua Dawa yako jisugue na ile Dawa kama unajiscrub jisugue mwili mzima uchafu ule uangukie pale kwenye kitambaa

Ukimaliza uchafu ukusanye vizuri kisha chukua unga wa sembe changanya na ule uchafu kawatupie kuku wale(lengo LA kuku kula ni Ili usije kuokotwa maana ukiokotwa uchafu huo unaweza kutumika vibaya na wewe ukaugua sana au kufa kabisa

Utafanya zoezi hili kwa muda wa wiki nzima utaona ajabu utakumbukwa na walokusahau utathaminiwa utaonekana utavutia na utapendwa(kama unajini mchafu itakuwa kinyume chake)

Mjafari unapatikana maduka ya Dawa za asili ni mchungu una rangi kama njano iliyokolea kuelekea kahawia

Nazi inapatikana magengeni au sokoni

Unga sembe madukani

Kitambaa kwa fundi cherehani

Kuku wapo mitaani

Magadi madukani

Imebidi niandike hivyo maana kuna mtu ataniuliza nazi ndo nini? Inapatikana wapi? Kuku wasipokula je?

Kuku wasipokula adui yako ataviokota na kwenda kuvifanyia kazi zingine.

wasiliana nami kwa tiba na ushauri

+255 745 59 50 89

Thursday, 9 August 2018

JINSI YA KUFICHA KIMVULI CHAKO

JINSI YA KUFICHA KIVULI CHAKO KISIONEKANE NA WACHAWI

kwa sababu wachawi wanapotaka kumloga mtu, huchukua na hushambulia kivuli chake. ( HAPA SIZUNGUMZII KIVULI CHA JUANI, NAZUNGUMZIA KIVULI CHAKO CHA KIROHO, YAANI NAFSI YAKO )Bila kuona kivuli chako, wachawi hawawezi kukuloga.

      Kinga hii hukupa uwezo wa kutokuonekana kwenye rada za wachawi. Kwao unakuwa ni sawa na mtu aliyekufa tu, kwa sababu mtu aliye kufa kivuli chake hakionekani na pia hawezi kurogwa na uchawi wa aina yoyote ile.

JINSI YA KUFICHA KIVULI CHAKO KISIONEKANE NA WACHAWI.
i.Chukua nywele za saluni

ii.Chukua mzizi wa mti ulio katisha njia

iii.Chukua tawi la mti unaitwa Ututukanga. Huu mti wa Ututukanga unapatikana porini na huwa linaonekana shina lake na matawi yake tu, lakini mzizi wake huwa hauonekani.

iv.Unachukua mti unaitwa Msonihya

v.Unasaga pamoja na mti unaitwa mwavi.

vi.Baada ya hapo unachukua kuku mweusi, unamfunga kwenye kitambaa cheusi bila kumchinja, unachukua chungu cheusi, unamuunguza mpaka anakuwa mkaa, halafu unamsaga pamoja na miti iliyo tajwa hapo juu, unachanganya na mafuta ya simba.

vii.Unachukua la ugali wa kilioni

viii.Kamba ya kitanda alicho lalia maiti, au kama maiti ipo kwenye nyumba ya nyasi, unachomoa nyasi wakati maiti imo ndani.

ix.Unachimba mzizi wa mti unaitwa mputika bila kivuli chako kugusa mti..

x.Unaunguza vyote kwa pamoja ukiwa na kaniki nyeusi bila kuvaa nguo yoyote usiku wa manane

xi.Unaipika njia panda pamoja na mafuta ya mbonokisha utachangaya na dawa za huko ju ulizochanganya na mafuta ya simba.Baada ya hapo, mtu atachanjiwa na kuongeshwa pamoja na kufanyiwa tambiko maalumu.Basi wachawi watakuwa wakijaribu kutaka kukutupia uchawi, wanakuwa hawakuoni kwenye rada zao za kichawi.

Kwa Maelezo zaidi wasiliana Na Dr Mambikhi