Saturday, 20 October 2018

IJUE NYOTA YAKO

IJUE NYOTAYAKO

NYOTA

JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO  NA LA MAMA GAWANYA  KWA KUMI NA MBILI.

1.           IKIBAKI MOJA NI PUNDA.

2.           IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE.

3.           IKIBAKI TATU NI MAPACHA.

4.           IKIBAKI NNE NI KAA.

5.           IKIBAKI TANO NI SIMBA.

6.           IKIBAKI SITA NI MASHUKE .

7.           IKIBAKI SABA NI MIZANI .

8.           IKIBAKI NANE NI NGE.

9.           IKIBAKI TISA NI MSHALE.

10.      IKIBAKI KUMI NI MBUZI.

11.      IKIBAKI KUMI NA  MOJA NI NDOO.

12.      IKIBAKI KUMI NA MBILI NI SAMAKI.

NA PIA KUNA NYOTA ZA AINA NNE AMBAZO NDIZO NYOTA ZA ASILI NA UKITAKA KUZIJUA NYOTA HIZO UNACHUKUA JINA LAKO LA BABA NA LA MAMA UNAGAWANYA KWA NNE

1.           IKIBAKI MOJA NI  MOTO .

2.           IKIBAKI MBILI NI UDONGO.

3.           IKIBAKI TATU NI UPEPO.

4.           IKIBAKI NNE NI MAJI.

NYOTA HIZI NDIZONYOTA ZA ASILI AMBAZO INATAKIWA TUZIFAHAMU MFANO MTU MWENYE NYOTA YA MOTO HATAKIWI KUFANYA KAZI ZA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI MAANA NYOTA YAKE ITAZIMIKA.

MWENYE NYOTA YA MOTO KAZI ZAKE NI UDREVA,UASKARI,UMACHINGA,HOTELI,, BIASHARA, ZINAZOHUSIKANA NA KUSAFIRI SAFIRI AU SALUNI MAANA SALUNI MOTO UNATUMIA UMEME ,FUNDI WELDING,NA KAZI ZINAZOHUSU UPEPO MAANA MOTO NA UPEPO ZIKO PAMOJA.

NA PIA NYOTA YA MAJI NA UDONGO ZINAFANYA KAZI MOJA.KAZI ZAO NI UVUVI,KULIMA ,UFUGAJI,KUCHIMBA MADINI, FUNDI WASH,FUNDI UJENZI.N.K.

MTU MWENYE NYOTA YA MOTO INATAKIWA AOLEWE NA MTU MWENYE NYOTA YA UPEPO.

NA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI INATAKIWA AOANE NA NA MTU MWENYE NYOTA YA UDONGO.

WATU WENGI NDOA ZAO HUHARIBIKA MAANA HAWAFATI MAMBO HAYA .KUJUA  NYOTA NI MUHIMU SANA NA HATA KIBIASHARA INATAKIWA TUJUE NI HERUFI GANI ZA KUANDIKA KATIKA BIASHARA AU KATIKA MADUKA YETU.

`

PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI MFANO MWENYE HERUFI INAYOANZA NA   A,=PUNDA. B=NG,OMBE.   C=MAPACHA.    D= KAA.   E= SIMBA.     F=MASHUKE.   G=MIZANI .  H=NGE.      I=MSHALE.   J==MBUZI.  K= NDOO.  L=SAMAKI.  M=PUNDA. N=NG,OMBE.  O=MAPACHA. P=KAA.   Q=SIMBA.  R=MASHUKE.   S=MIZANI.     T=NGE.  U=SAMAKI.   V=MBUZI.    W=NDOO.  X=SAMAKI.    Y=PUNDA.   Z=NG,OMBE..NA HIZO NI KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO.

PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUZALIWA  KUTOKANA NA MWEZI ULIOZALIWA MFANO.

TAREHE 19   MWEZI  WA   1   HADI  TAREHE   20  MWEZI    WA    2  NI  NDOO.

TAREHE 21   MWEZI  WA   2   HADI  TAREHE   20  MWEZI    WA      3  N I  SAMAKI.

TAREHE 21   MWEZI   WA    3   HADI  TAREHE   20  MWEZI   WA     4   NI   PUNDA.

TAREHE 21   MWEZI  WA   4    HADI   TAREHE   20    MWEZI  WA     5     NI NG,OMBE.

TAREHE 21 MWEZI  WA    5       HADI   TAREHE  20   MWEZ I WA     6    NI MAPACHA.

TAREHE 21 MWEZI WA    6        HADI  TAREHE   20     MWEZI  WA    7    NI KAA.

TAREHE 21 MWEZI WA    7       HADI   TAREHE    21       MWEZI  WA  8     NI  SIMBA.

TAREHE 22 MWEZI WA   8       HADI   TAREHE     22 MWEZI      WA      9        NI  MASHUKE.

TAREHE 23  MWEZI WA 9      HADI     TAREHE       22 MWEZI    WA     10    NI  MIZANI.

TAREHE 23 MWEZI WA 10     HADI     TAREHE    21 MWEZI     WA       11    NI     NGE.

TAREHE 22 MWEZI WA 11 HADI TAREHE 21 MWEZI   WA  12  NI   MSHALE.

TAREHE 21 MWEZI WA 12 HADI TAREHE 18 MWEZI WA  KWANZA  NI MBUZI.

HIZO NDIZO  NYOTA KWA NJIA YA TAREHE .

PIA NYOTA HIZI ZIKO KATIKA MAGURUDUMU KAMA NILIYOYATAJA HAPO NYUMA MFANO.

1.           NDOO=     MOTO

2.           PUNDA = MOTO.

3.           NG,OMBE =UDONGO

4.           MAPACHA = UPEPO.

5.           KAA=MAJI.

6.           SIMBA=MOTO.

7.           MASHUKE= UDONGO.

8.           MIZANI =UPEPO.

9.           NGE=MOTO.

10.      MSHALE=MOTO.

11.      MBUZI =UDONGO.

12.      SAMAKI = MAJI.
Kwa mawasiliano +255 745 59 50 89