IJUE NYOTAYAKO
NYOTA
JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO NA LA MAMA GAWANYA KWA KUMI NA MBILI.
1. IKIBAKI MOJA NI PUNDA.
2. IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE.
3. IKIBAKI TATU NI MAPACHA.
4. IKIBAKI NNE NI KAA.
5. IKIBAKI TANO NI SIMBA.
6. IKIBAKI SITA NI MASHUKE .
7. IKIBAKI SABA NI MIZANI .
8. IKIBAKI NANE NI NGE.
9. IKIBAKI TISA NI MSHALE.
10. IKIBAKI KUMI NI MBUZI.
11. IKIBAKI KUMI NA MOJA NI NDOO.
12. IKIBAKI KUMI NA MBILI NI SAMAKI.
NA PIA KUNA NYOTA ZA AINA NNE AMBAZO NDIZO NYOTA ZA ASILI NA UKITAKA KUZIJUA NYOTA HIZO UNACHUKUA JINA LAKO LA BABA NA LA MAMA UNAGAWANYA KWA NNE
1. IKIBAKI MOJA NI MOTO .
2. IKIBAKI MBILI NI UDONGO.
3. IKIBAKI TATU NI UPEPO.
4. IKIBAKI NNE NI MAJI.
NYOTA HIZI NDIZONYOTA ZA ASILI AMBAZO INATAKIWA TUZIFAHAMU MFANO MTU MWENYE NYOTA YA MOTO HATAKIWI KUFANYA KAZI ZA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI MAANA NYOTA YAKE ITAZIMIKA.
MWENYE NYOTA YA MOTO KAZI ZAKE NI UDREVA,UASKARI,UMACHINGA,HOTELI,, BIASHARA, ZINAZOHUSIKANA NA KUSAFIRI SAFIRI AU SALUNI MAANA SALUNI MOTO UNATUMIA UMEME ,FUNDI WELDING,NA KAZI ZINAZOHUSU UPEPO MAANA MOTO NA UPEPO ZIKO PAMOJA.
NA PIA NYOTA YA MAJI NA UDONGO ZINAFANYA KAZI MOJA.KAZI ZAO NI UVUVI,KULIMA ,UFUGAJI,KUCHIMBA MADINI, FUNDI WASH,FUNDI UJENZI.N.K.
MTU MWENYE NYOTA YA MOTO INATAKIWA AOLEWE NA MTU MWENYE NYOTA YA UPEPO.
NA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI INATAKIWA AOANE NA NA MTU MWENYE NYOTA YA UDONGO.
WATU WENGI NDOA ZAO HUHARIBIKA MAANA HAWAFATI MAMBO HAYA .KUJUA NYOTA NI MUHIMU SANA NA HATA KIBIASHARA INATAKIWA TUJUE NI HERUFI GANI ZA KUANDIKA KATIKA BIASHARA AU KATIKA MADUKA YETU.
`
PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI MFANO MWENYE HERUFI INAYOANZA NA A,=PUNDA. B=NG,OMBE. C=MAPACHA. D= KAA. E= SIMBA. F=MASHUKE. G=MIZANI . H=NGE. I=MSHALE. J==MBUZI. K= NDOO. L=SAMAKI. M=PUNDA. N=NG,OMBE. O=MAPACHA. P=KAA. Q=SIMBA. R=MASHUKE. S=MIZANI. T=NGE. U=SAMAKI. V=MBUZI. W=NDOO. X=SAMAKI. Y=PUNDA. Z=NG,OMBE..NA HIZO NI KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO.
PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUZALIWA KUTOKANA NA MWEZI ULIOZALIWA MFANO.
TAREHE 19 MWEZI WA 1 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 2 NI NDOO.
TAREHE 21 MWEZI WA 2 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 3 N I SAMAKI.
TAREHE 21 MWEZI WA 3 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 4 NI PUNDA.
TAREHE 21 MWEZI WA 4 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 5 NI NG,OMBE.
TAREHE 21 MWEZI WA 5 HADI TAREHE 20 MWEZ I WA 6 NI MAPACHA.
TAREHE 21 MWEZI WA 6 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 7 NI KAA.
TAREHE 21 MWEZI WA 7 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 8 NI SIMBA.
TAREHE 22 MWEZI WA 8 HADI TAREHE 22 MWEZI WA 9 NI MASHUKE.
TAREHE 23 MWEZI WA 9 HADI TAREHE 22 MWEZI WA 10 NI MIZANI.
TAREHE 23 MWEZI WA 10 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 11 NI NGE.
TAREHE 22 MWEZI WA 11 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 12 NI MSHALE.
TAREHE 21 MWEZI WA 12 HADI TAREHE 18 MWEZI WA KWANZA NI MBUZI.
HIZO NDIZO NYOTA KWA NJIA YA TAREHE .
PIA NYOTA HIZI ZIKO KATIKA MAGURUDUMU KAMA NILIYOYATAJA HAPO NYUMA MFANO.
1. NDOO= MOTO
2. PUNDA = MOTO.
3. NG,OMBE =UDONGO
4. MAPACHA = UPEPO.
5. KAA=MAJI.
6. SIMBA=MOTO.
7. MASHUKE= UDONGO.
8. MIZANI =UPEPO.
9. NGE=MOTO.
10. MSHALE=MOTO.
11. MBUZI =UDONGO.
12. SAMAKI = MAJI.
Kwa mawasiliano +255 745 59 50 89
No comments:
Post a Comment