Wednesday, 22 August 2018

NUKSI NI NINI


#-NUKSI-Ni neno la kiarabu ambalo lina maana ya machafuko ,maangamiko,maharibiko. Ambalo kwa kiswahili tuna liita neno hili ni mkosi ambayo ndio maana halisi na sambamba ya msamiati huo.

#NUKSI- ni hali inayo mkumba mtu na kumfanya kuwa na dhiki na ugumu katika kuyaendeka mambo yake na kupata kile anacho kihitaji kwa nafasi yake.

#Tunapo zungu mzia nuksi tuna zungumzia ujumla wa muambatano na visababisha vya ukwamaji wa mambo kwa watu mbali mbali.


#Nuksi kwa ujumla wake zimegawanyika katika aina nyingi ambazo kila moja na sababu zake ambazo hupelekea mtu kuingia katika matatizo kwa uzito wa nuksi yake.
    
   VISABABISHI VYA NUKSI/MKOSI.

A)-#Kukumbwa na kafara za watu manjiani.

B)-#Nuksi ya kuambukizwa na mke/mume.

C)-#Nuksi ya kuletwa na majini.


D)-#Nuksi ya masononeko ya wazazi.

E)-#Nuksi ya kufungwa na asili ya ukoo wa mtu.

F)-#Nuksi ya laana za wazazi/kiapo.

G)-#Nuksi ya kufanyiwa uchawi.

Vyote hivi ni baadhi ya miongoni mwa vitu ambavyo huweza kusabaisha nuksi/mkosi kwa binaadamu.

#Watu wengi wamekuwa wakisumbuka na Mikosi/nuksi pasi na kujua pia ni Nuksi gani inayo wasumbua.

Hapa leo tunazunhumzia aina  moja ya nuksi/mkosi.

1-#Nuksi ya kuikumba -hii ni nuksi ambayo mtu anaikumba yaani hakukusudiwa kufanyiwa kitu kibaya na wachawi wala adui wake.

Hii hutokea pale mtu anapo pita sehemu ambayo kuna watu walifanya kafara ya kutoa nuksi ama kujifungua kutokana na matatizo aliyo nayo.

Endapo mtu atakatiza katika eneo hilo akiwa ni wa mwanzo ni tangu kafara hiyo kufanyika basi mtu huyo ana weza kuipata niksi hiyo.

Nuksi hiyo ambayo huanza kujitokeza matokeza kwake kuanzia siku moja kwa ukamilifu wake ama siku ya nane yake tangu kumkumba nuksi hiyo.

#Mtu huyo anaweza pia kuanza na kupata homa kama kafara hiyo ilikuwa kubwa na hato pata homa endapo kafara hiyo haiku chinjiwa mnyama wala hakikuchomwa kitu miongoni mwaka vitu vya kafara hiyo.

DALILI ZA MTU MWENYE NUKSI/MKOSI.

1-#kuchukiwa kwa sababu za kawaida zisizo na maana.

2-#kukwama mambo yote ghafla.

3-#kushindwa kujisaidia mwenyewe.

4-#kujihisi una mapungufu wewe Mwenyewe na kujiona kama una kasoro.

5-#kuachwa na mpenzi ghafla.

6-#kusimamishwa kazi pasi na sababu ilio nyooka.

7-#kufa kwa mawasiliano na watu wako wa karibu.

8-#watu kuku sahau kwenye mahala pa kufanya kipato.

9-#kukosa msaada kwa mwenye uwezo wa kukusaidia.

Kwa Tiba na ushauri
+255 745 59 50 89
Website : sales@drmambikhi.com
E mail: mambikhitibaasilia@gmail.com

No comments:

Post a Comment