Monday, 20 August 2018

DAWA YA KUSAFISHA NYOTA YAKO NA MVUTO

 

Dawa ya kusafisha

Habari za leo

Chukua mjafari wa unga

Hina ya unga

Magadi ya kupikia mlenda

Machicha ya Nazi yasiyokamuliwa(kuna Nazi kisha changanya na Dawa hizo)

Kisha kamulia ndimu mpaka uone Dawa yako imekuwa uji uji au unaweza usitumie ndimu chukua marashi rose korogea mpaka uone Dawa imekuwa ujiuji

Dawa hii inatumika usku tu

Chukua kitambaa cheupe

Kitandike chini ilihali upo uchi

Chukua Dawa yako jisugue na ile Dawa kama unajiscrub jisugue mwili mzima uchafu ule uangukie pale kwenye kitambaa

Ukimaliza uchafu ukusanye vizuri kisha chukua unga wa sembe changanya na ule uchafu kawatupie kuku wale(lengo LA kuku kula ni Ili usije kuokotwa maana ukiokotwa uchafu huo unaweza kutumika vibaya na wewe ukaugua sana au kufa kabisa

Utafanya zoezi hili kwa muda wa wiki nzima utaona ajabu utakumbukwa na walokusahau utathaminiwa utaonekana utavutia na utapendwa(kama unajini mchafu itakuwa kinyume chake)

Mjafari unapatikana maduka ya Dawa za asili ni mchungu una rangi kama njano iliyokolea kuelekea kahawia

Nazi inapatikana magengeni au sokoni

Unga sembe madukani

Kitambaa kwa fundi cherehani

Kuku wapo mitaani

Magadi madukani

Imebidi niandike hivyo maana kuna mtu ataniuliza nazi ndo nini? Inapatikana wapi? Kuku wasipokula je?

Kuku wasipokula adui yako ataviokota na kwenda kuvifanyia kazi zingine.

wasiliana nami kwa tiba na ushauri

+255 745 59 50 89

1 comment: