Saturday 6 July 2019

JINSI  YA  KUMZINDUA  MWANAUME  ALIYE  LISHWA  LIMBWATA  LA  KUSINI

Angalia Video Hapa chini kwenye link👇👇
LIMBWATA LA KUSINI

JINSI  YA  KUMZINDUA  MWANAUME  ALIYE  LISHWA  LIMBWATA  LA  KUSINI
 Uchawi  wa  mapenzi  kutoka  kusini  mwa Tanzania  ndio  uchawi  wa  mapenzi  wenye nguvu  kuliko  uchawi  mwingine  wowote  ule wa  mapenzi  ambao  umewahi  kuusikia.  Mume  wako, kaka  ako  au  baba  ako  akilishwa  limbwata  la  kusini  basi  hapo  wewe  hesabu  maumivu  kwa  sababu  uchawi  huu  ni  hatari  sana.  Tofauti  na  uchawi mwingine  wa  mapenzi, limbwata  la  kusini  ni SUMU YA  KICHAWI  AMBAYO  INAENDA  KUUA UBONGO  WA  MTU  ALIYE  LISHWA  NA KUMFANYA  AFANYE  KILA  KITU  AMBACHO  MLISHAJI  ANAKITAKA.
Nikiwa  kama  Tabibu  wa  Jadi  nimekutana  na  kesi  nyingi  sana  za  watu  walio  lishwa  limbwata  la  kusini. Pamoja  na  kwamba wanaume  ndio  wahanga  wakuu  wa  uchawi huu  yani  wanaume  ndio  wanao  ongoza  kwa  kulishwa  uchawi  huu  hatari na  mbaya  kabisa  kuwahi  kutokea  katika  historia  ya  uso  wa  dunia  lakini pia  wanawake  pia  hulishwa.  Siku  hizi  maisha  yamebadilika  sana  kwani  hata  wanaume  nao  wanatembelea  vilingeni kutafuta  uchawi  wa  mapenzi.
Watu  wengi w anao  lishwa  uchawi  huu  huwa  wana  haribikiwa  na  kufilisika  kabisa  kwa  sababu  lengo  la  mlishaji  huwa ni  kupata  fedha  na  mali  kutoka  kwa  mlishwaji.
Katika  lugha  ya  kitabibu  uchawi  huu  huwa  unajulikana  kama  “ TEKO “  kwa  sababu  mtu  aliye  lishwa  uchawi  huu  anakuwa  kama  mtu  aliye  tekwa  na mtu mwenye  silaha  nzito  mfano  bunduki. Mtu  akitekwa  kwa  bunduki ile  bunduki  inakuwa  sio  bunduki  tena  bali  inakuwa “ Remote  Control”  ambayo  kazi  yake ni  kumcontrol  mtekwaji  na  kumuamuru  kufanya  anacho  kitaka.
Mtu  aliye  lishwa  uchawi  huu hufanya  kila kitu  anacho  amriwa  kufanya  na  mtekaji.
Uchawi  huu  umeharibu  maisha  ya  watu wengi  sana.  Familia  nyingi  zime  vunjika  kwa  sababu  ya  uchawi.  Watoto wengi  wametelekezwa na  kuharibikiwa  maisha  kwa  sababu  ya  uchawi  huu.  Kibaya zaidi  wahanga  wa  uchawi  huu  wanazidi  kuongezeka  siku  hata  siku. Nimekuwa  nikipokea  ujumbe kutoka  kwa  watu  wengi  wakiniomba  nitoe somo kuhusu  namna  ya  kujikinga  dhidi  ya uchawi  huu pamoja  na  kuwazindua  watu  ambao  tayari  wamelishwa  uchawi  huu.
Nimeandaa  makala  maalumu  kupitia  blogu yangu hii ambayo  inaelezea A  TO  Z  kuhusu  uchawi  huu, na  jinsi  ya kujikinga  nao  au  jinsi  ya  kumzindua  mtu  alie lishwa  uchawi  huo.
Kila  nikipata  nafasi  nitakuwa  naweka hapa maelezo  kuhusu  namna  ya  kujikinga  na  kukabiliana  na  uchawi  huu.
Zipo  njia  nyingi  sana  ambazo  wanazitumia wacahwi  kutengeneza  uchawi  huu  hatari  wa mapenzi. Nitakuwa  naeleza  njia  moja  wapo  baada  ya  nyingine  na  namna  ya  kumzindua mtu  aliye  lishwa  uchawi  kwa  njia  husika.
Kwa  kuanza  leo  hapa  nitaeleza  kwa  ufupi  njia  moja  wapo  wanayo  tumia  wachawi:
Kwa  kuanza  wachawi  hufanya  vitu  vifuatavyo :

1.       Huchukuliwa  mzizi  ulio okotwa  kwenye mwanandani  wa kaburi ( Mwanandani  wa  kaburi  ni  kishimo  cha  ndani  ya  kaburi. Sasa  watu wakiwa  wanachimba  kaburi  halafu  kwenye  mwanandani  wakikuta  kuna  mzizi  humo  wanachukua  kipande  cha  huo  mzizi. Huo mzizi  sasa  ndio  unao  enda  kuingia kwenye  pishi  la  hilo  limbwata  la  kusini  la  aina  ya  kwanza  ambayo  ninaielezea hapa )
2.       Anachukuliwa  mdudu  anaeitwa  Nyunga. Huyu  nyunga  ni  mdudu  wa  porini  ambae  anafanana  sana  na  panya na  ana  sifa  moja  ya kipekee. Yeye  akivuka  tu njia  anakufa.
3.       Linachukuliwa  tawi  la  mti  mmoja  wa  porini. Huu mti  una  sifa  moja  ya  kipekee  sana. Kila  ndege  anae  tua  juu  ya  mti  huo  anakufa, kasoro  ndege  mmoja  tu  ambae  anaitwa “ Nditi “
4.       Udongo  wa  kichuguu  bubu
5.       Udongo  wa kwenye  njia  panda  jike (  NJIA  PANDA  JIKE  NI  NJIA  PANDA  AMBAYO  ZIMEKUTANA  NJIA  NNE  NA  NJIA  PANDA DUME  NI  NJIA  AMBAYO ZIMEKUTANA  NJIA TATU )
6.        Yanachukuliwa matawi  na  mizizi  ya miti  miwili  iliyo  sehemu moja  lakini mti mmoja  mrefu  na  mwingine  mfupi, yani mti mmoja unauzidi  mti mwingine  urefu.  Huo mti  mrefu vinafungwa  vitu  vya  mwilini  vya  mtu  anae  taka  kumlisha  mwenzake  limbwata  hili  la  kusini  na  mti  mfupi  vinafungwa  vitu vya mwilini  vya  mtu ambae  amekusudiwa  kulishwa  huo  uchawi.
7.       Aina  ya  panzi  wasio na  mabawa. Hawa panzi  hawaruki  kwenda  mbali. Panzi hawa  huchukuliwa na  kusagwa . ( Hawa  ni  tofauti  na  wale panzi  wajulikanao  kama  gugwa ambao  hutumiwa na  wachawi  kumvuta na  kumuita  mtu  aliye  mbali aje  haraka  sana )
8.       Mjusi  wa  ndani ya  nyumba
9.       Maji  ya  Tunge (  Haya  ni  maji ya  kichawi ambayo  hutumiwa  na  wachawi  kuwalisha  watu matunge  wasahau  kuhusu  maisha  yao  yaliyo  pita )
10.   Nyama  ya  n’gombe  na  paka. Hii  nyama  ya  n’gombe  hupasuliwa  na  kuwekwa  dawa  iliyo  changanywa  na  talasimu.  Halafu nyama  hiyo huandikwa  talasimu  la  kichawi  kwa  kutumia zaafarani  nyekundu  na  miski. Hii  hutumika kumlisha  paka.” Kanyama  ka  paka “ lengo  ni  kumfanya  mwanaume  anae lishwa  uchawi huu  amn’gan’ganie  mlishaji  kama  paka  am’ganganiavyo  mtu  anaekula  nyama  hata akifukuzwa  vipi.
11.    Kichwa  cha  kondoo  au  kondoo  mzima  mzima  analishwa  dawa , talasimu  na  vitu  vya  m,tu  aliekusudiwa   kufanyiwa  uchawi na kisha  kwenda  kuzikwa  kaburini.
Pamoja  nma  vitu  vingi sana  ambao  muda hauniruhusu  kuvielezea  vyote  leo.  Vitu  hivi vinatumika  kutengeneza  hilo  TEKO  ama  LIMBWATA  LA  KUSINI  kwa ajili  ya  kumroga  mwanaume  aliye  kusudiwa . ( Kumbuka  hii  ni  aina  moja  tu )
Uchawi  huu  ni  mbaya  sana.  Mwanaume aliyelishwa  uchawi  huu  kama  alikuwa  na  mke  na  watoto  basi  wote  atawasahau.  Yani  anakuwa  kama  hajawahi  kabisa  kuwa  na  familia. Ni uchawi  hatari  sana  na  umevunja familia  za  watu  wengi  sana.
Kesho  nitaendelea  na  aina  nyingine  ya  TEKO  ( LIMBWATA  LA  KUSINI )  na  nitamalizia  kwa kuelezea  njia  gani  unazo  weza  kuzifanya wewe  mwenyewe  ili  uweze  kujikinga  na kujiepusha  na  kurogwa  uchawi  wa  aina  hii  pamoja  na  kumzindua  mtu  aliye rogwa uchawi  huu )
Kwa  makala  zangu  nyingine,
Wasiliana na maalim Dr Mambikhi Whatsapp/Calls 255 745 59 50 89

Asalaam aleykum wanagloup leo nawaletea dawa adimu na adhwimu bado nipo safalini nimekuja kuchimba madawa ya tiba huku nimekutana namtihuu unaitwa mdocteri nimti hatali ndomana nimeonelea niwaletee somohili. litwaalo maajabu ya. Mdocteri cjui niseme dhahabu au almasi mdocteri ni nidawa ilikuwa inatumika na waganga wa zamani wakongomani. na walundi pamoja na wa nigelia mtihuu waliutumia sana hasa katika mambo ya mazingaombwe mvuto na kufunguwa ndoto. Na kubashili mambo mbalimbali na kun'golea vitu vibaya vilivyofukiwa aldhini umeitwa mdokteri. Mtihuu. Pia unanguvusana kwaupande wanjozi loho wamtihuu au malaika wa mtihuu ndio wenyenguvu za kujuwa na kutambuwa kutabili kubashili ipasavyo mwenyezimungu kaumba mitiii lakini kusemakweli mtihuu kaupendeleasana mti huu kunabaadhi ya waganga wa zamani walikuwa wanauweka kwenye msinga ili kuweza kupata nguvu za kiloho za kutabilia. Na kupimia watu na kufanyia kazi mbalimbali nakumbuka babuyangu mzee kiboko og. alikuwa na msinga wake alikuwa anautuma popote unaenda na unaludi wenyewe bilatabu huo ndio uganga wa zamani bhana wenzetu walikuwa hawabaatishi sio ckuhizi watu wanaenda kuusomea uganga au wengine wamesoma madlasat kaifadhi duwaa mbilitatu bac nayeye mganga tena anatamba mkikolofishana kidogo utamsikia wewe unanijuwa vizulimimi waulizewenzio nawanakibuli yaani utadhani makhudam wooote duniani wapokwake namatapeli wamekuwa wengi adi wameufanya uganga umeshuka hadhi soote twaonekana wezi2 tunaendelea. Mdocteri hutumika pia kwenye maswaala ya kuondowa mapepo katika mwili wa mtu na hutumika katika maswaala ya kuvuta njozi maana uganga bila njozi wewe siomganga pia mdocteri pia hutumika katika kutengenezea chumaulete pia hutumika kutowa nux vifungo na kuongeza mvuto kwenye biashala ambapo utauchanganya mdocteri pamoja na mvumbasi dikulu utamwaga kwenye kazizako au biasharayako na kilakitu kitafunguka na kitaenda Sawa sawia pia unaweza kujitngenezea nguvu za ziada kupigia mtihuu pia unaweza kujijengea jicho la tatu ukawa na uwezo kuona vilivyo fichikana yaaan huumti nikiboko.

MITI TIBA