Friday 18 February 2022

ASALAM ALEYKUM ,YULE BINGWA WA TIBA ASILI AFRIKA MASHARIKI NA KATI MAALIM MAMBIKHI
                 ðŸ“Œni Mganga wa Jadi anae tibu kupitia Miti Shamba na Kisomo, kama vile kwa yule alie achwa Mke, Mume, au Mchumba 
Maalim Mambikhi 📌               atakurudishia kwa haraka sana Mvuto wa Biashara au Mapenzi, Mvuto Kazini na kupandishwa Cheo, Kumvuta aliekuwa mbali Mke,au Mume, Mchumba au Ndugu, Kuondoa Jini Mahaba,na Ndoto mbaya, Kumuona mbaya wako na Mgoni wako Kumkamata Mwizi wako kwenye Kioo cha Uganga.
  Maalim Mambikhi pia anaweka Zindiko la Mwili, Nyumba, Vyombo vya Usafiri, na Mashamba, kwa wale wanaosumbuliwa chango la uzazi mimba kuhalibika tatizo la Tezi,Maumivu chini ya Kitovu, Ngiri, Busha, Ganzi Mwilini, Miguu kuwaka Moto muone Maalim Mambikhi atakusaidia.
          MPUTA Ni dawa ya limbwata kwa Mke, au Mume,au Mchumba,na kumfanya akusikilize kwa kila unacho mwambia pia Pete ya bahati yenye kuambatana na Nyota ya Mwanadamu,kuzuia na  kutoa Chuma Ulete na mengineyo HUDUMA UTAIPATA POPOTE ULIPO DUNIANI 
WHATSAPP 
https://chat.whatsapp.com/C0GZ4Dtgow0Ges8ZEBM64n

Thursday 17 February 2022

JIFUNZE TIBA ASILIA HAPA👇👇👇.

https://youtu.be/f8HZ2mZ6V3g Husipitwe na madarasa yanayoendelea Youtube. Kuwa wakwanza kupata Madarasa ya Maalim Dr.Mambikhi kwa Kulike na Kusubscribe Page ya

Wednesday 16 February 2022

NYOTA ZENU LEO JUMATANO TAREHE 16/2/2022

         NDOO ( Jan 20- February 19)
Wiki hii inaonekana umekuwa mzito na Umesitasita  kwa muda mrefu kufanya maamuzi. Usiogope jitoe muhanga iwapo unataka kufaulu hasa katika mambo yako.

         SAMAKI ( February 20- March 20)
Utahitaji ushauri mzuri ili kuweka mambo yako sawa. Kutimia kwa mipango yako uliyonayo kunategeme wewe utajihusisha na mambo ya aina gani 

               PUNDA ( March 20-April 20)
Leo  imekuwa vigumu kwako kufanya maamuzi kuhusiana na mambo Fulani na utajikuta uko  njia panda itakayokutenganisha na mambo mengi. amua cha kufanya katika kufikia malengo yako unayoyataka.

                NGOMBE( April 21- May 20)
Umekuwa ukisumbuliwa na mikosi na matatizo sasa kwa muda mrefu na leo ndio hasa wakati hasa wa kuyashughulikia hayo matatizo yako na kuyamaliza. 

                MAPACHAMay 21- Juni 20)
Leo  uwe na hisani kwa kila mtu na jitolee kutoa msaada, tabia  hiyo itawafanya watu wakuthamini , ikiwezekamna   mara kwa mara toa msaada kama unavyotoa kwa wengine na wakija wasaidie wala usichoke

                  KAA ( Juni 21- Julai 22)
Leo badilika na  jiweke mbali na marafiki wabaya iwapo utataka kufaulu katika maisha yako. umekuwa ukitumia vibaya fedha zako kiasi cha kushindwa kutekeleza baadhi ya mambo yako ambayo umejipangia wewe mwenyewe, Acha hiyo tabia 

             SIMBA (Julai 22-Agosti 22)
Matatizo mengi ambayo yaliyokuandama yalikuwa yanatokana na mikosi  kwa upande wako, Tafuta njia ya kuondoa husda hiyo au nuksi hizo kabla hazijakuletea madhara kwa sehemu kubwa kwako, 

            MASHUKE  (Agosti 23-Sep 23)
Ondoa khofu. Nyota yako itakuletea mambo makubwa  na mengi sana katika maisha yako. Yakitokea hayo yakubali tu hatimaye utamakinika na utaona faida ya mabadiliko hayo. 

              MIZANI  ( Sep 23-Oktoba 23)
Leo  tafuta ufumbuzi au utatuzi wa shida zako zinazokukabili. Jiepushe na marafiki wasio na  tija kwako. Leo Unahitaji utulivu wa hali ya juu katika kutekeleza majukumu yako yanayokukabili.

                   NGE (Oktoba 23-Nov 22)
Leo ni  Jumatano nzuri sana kwako hasa katika kubuni mbinu na Mipango ya maisha yako  ya baadae, yaweke pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana na simamia kile ambacho unakiamini

               MSHALE (Nov 22- Desemba 21)
Leo  tumia Jitihada binafsi kujielekeza kwa mambo mema unaweza kufanikiwa. Utakutana na mgeni na atakutaka muwe marafiki, mkubalie kwa sababu utapata faida kubwa kwa hilo hasa kwa wiki inayokuja. 

                MBUZI ( Desemba 21- Jan 20)
Siku ya leo Kuna bahati kubwa sana ipo upande wako ,watu wengi watakuchangamkia na watakuwa tayari kukusaidia kuyashughulikia matatizo yako yanayokukabili

Wednesday 2 February 2022

SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO KINYOTA

SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO KINYOTA

          Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako.

                           HERUFI A
        Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda.
                       HERUFI B
          Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,
                       HERUFI C
         Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano Herufi C inawakilisha Nyota ya Mapacha,
                        HERUFI D
           Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. Herufi C inawakilisha Nyota ya Kaa,
                      HERUFI E
         Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu. Herufi E inawakilisha Nyota ya Simba,

                      HERUFI F
        Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi. Herufi F inawakilisha Nyota ya Mashuke,
                       HERUFI G
         Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu. Herufi G inawakilisha Nyota ya Mizani,
                       HERUFI H
        Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi. Herufi H inawakilisha Nyota ya Nge,
                      HERUFI I
        Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka. Herufi I inawakilisha Nyota ya Mshale,
                       HERUFI J
        Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo. Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,
                      HERUFI K
        Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha. Herufi K inawakilisha Nyota ya Ndoo,
                        HERUFI L
         Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,
                       HERUFI M
        Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda
                            HERUFI N
        Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana. Herufi N inawakilisha Nyota ya Ngombe

                             HERUFI O
        Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia. Herufi O inawakilisha Nyota ya Mapacha
                         HERUFI P
         Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu. Herufi P inawakilisha Nyota ya Kaa
                             HERUFI Q
         Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha Nyota ya Simba
                       HERUFI R
         Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani. Herufi R inawakilisha Nyota ya Mashuke
                          HERUFI S
        Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani
                           HERUFI T
        Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge
                             HERUFI U
        Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mshale.
                          HERUFI V
         Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mbuzi.
                         HERUFI W
         Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari. Herufi W inawakilisha Nyota ya Ndoo.
                          HERUFI X
         Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.
                   HERUFI Y (YASINTA)
       Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha Nyota ya Punda.
                          HERUFI Z
       Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ngombe.